Ticker

6/recent/ticker-posts

BONANZA LA MICHEZO LANOGESHA JUKWAA LA USHIRIKA DODOMA

Jukwaa la Maendeleo ya Ushirika Mkoa wa Dodoma  Mei 30, 2026 limeendelea kwa kuwakutanisha Wanaushirika,  watumishi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika na Wadau wa Ushirika kwa lengo la kushiriki mazoezi na michezo mbalimbali.

Michezo iliyofanyika ni pamoja na kukimbia, mpira wa miguu, bao. Washindi wa michezo walipewa zawadi mbalimbali.

Viongozi wa Jukwaa hilo wakiwemo Mwenyekiti wa Jukwaa Ibrahim Sumbe, Mrajis Msaidizi wa Mkoa Joseph Chitinka wameongoza Bonanza hilo.








Post a Comment

0 Comments