Ticker

6/recent/ticker-posts

SHEIKH MKUU JUMUIYA YA SHIA AWAASA WATANZANIA KUIMARISHA UMOJA NA KULINDA AMANI

 


Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Hemed Jalala Mwakindenge, amesema Mwaka Mpya wa Kiislamu 1448H unapaswa kuwa fursa ya kujitathmini binafsi na kitaifa, kuimarisha umoja, mshikamano na uvumilivu. Amesisitiza kuwa Watanzania wanapaswa kuendelea kulinda amani, kupendana na kushikamana ili taifa liendelee kuwa mfano wa utulivu na maendeleo.

Post a Comment

0 Comments