Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam
Wataalam mbalimbali kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake wakitoa Elimu kwa Umma katika Maonesho ya Hamsini ya Biashara ya Kimaitafa Dar es Salaam yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam Tarehe 1 Julai 2026.
Maonesho hayo ya Biashara ya Kimataifa yana Kaulimbiu inayosema “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, Fahari ya Tanzania.”





0 Comments